iMatch
Kutana na watu wapya, Tanzania nzima.
iMatch ni app ya kupata mtu wa kuchat naye na kukutana naye. Kujiunga ni bure.
- Chat inafunguka mkipendana wote wawili Penda unayempenda; akikupenda pia, mnaanza kuchat.
- Vyumba vya live Ingia kwenye live ukutane na watu wengi kwa pamoja, au fungua Chumba cha Waridi chako.
- Siku 1 ya Premium bure, mara moja
- Waridi 3 bure kila siku, za kumwonyesha mtu kuwa unampenda
- Block na ripoti Mblock au mripoti mtu yeyote, wakati wowote. Ukimblock, hawezi kukutumia ujumbe tena.
iMatch ni kwa watu wa miaka 18 na zaidi.
iMatch · Connect · Spark · Love