iMatch
Wewe ndiye unaamua.
Kwenye iMatch, wewe unachagua nani azungumze nawe.
- Hakuna anayechat nawe usipotaka Chat inafunguka tu mkipendana wote wawili. Ujumbe kutoka kwa mtu usiyempenda unafika kama ombi, na wewe unaamua kulikubali au hapana.
- Block na ripoti Mblock au mripoti mtu yeyote, wakati wowote. Ukimblock mtu, hawezi kukutumia ujumbe tena.
- Kwenye live, host anaamua nani aingie Wanaoingia ni wale host aliowakubali au aliowaalika tu. Fungua Chumba cha Waridi chako, na wewe ndiye utaamua.
- Ukurasa wako wa umma ni hiari yako Umezimwa mpaka uuwashe, na unaonyesha jina lako la kwanza: kamwe si jina la ukoo, namba wala email.
- Siku 1 ya Premium bure, mara moja
- Waridi 3 bure kila siku, za kumwonyesha mtu kuwa unampenda
iMatch ni kwa watu wa miaka 18 na zaidi.
iMatch · Connect · Spark · Love